Mfanyibiashara Jimi Wanjigi amekamatwa na kufikishwa DCI

  • | Citizen TV
    Mfanyibiashara Jimi Wanjigi amekamatwa na kufikishwa DCI Wanjigi anahojiwa na maafisa wa upelelezi wa jinai kabla ya kushtakiwa Wanjigi anatuhumiwa kwa ulaghai wa umiliki wa kipande cha ardhi Wanjigi alikamatwa katika ofisi yake ya katika jumba la Kwacha Nairobi