Mfanyikazi mmoja wa nyumbani afungwa miaka mitano gerezani na mahakama ya watoto

  • | K24 Video
    37 views

    Mfanyikazi mmoja wa nyumbani amefungwa miaka mitano gerezani na mahakama ya watoto hapa nairobi. Kisa? mfanyikazi huyo Catherine Mukaya alimdhulumu mtoto wa miezi mitano kwa kumlisha kwa lazima kamasi zake na kumlambisha uchafu kutoka kwa uke wake. Wakati huohuo, mbunge wa Sirisia John Waluke amejisalimisha kwa polisi siku moja tu baada ya rufaa yake dhidi ya hukumu ya kifungo cha miaka 67 au faini ya shilingi milioni 727 kutupiliwa mbali.