Mfugaji wa ndege wa rangi za kuvutia avuna vinono Nyeri

  • | KBC Video
    Awali alikuwa mhudumu wa benki na sasa ni mfugaji wa ndege wa rangi za kuvutia. Ungedhani ni biashara ya pata potea lakini Peter Kinyua kutoka eneo la Runyenjes kaunti ya Embu anavuna vinono akizoa faida ya shilingi laki moja kila mwezi kutokana na ufugaji wa ndege wa rangi mseto. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive