Mfumo mpya wa AI utakaowasaidia madaktari kugundua kasoro kwenye ripoti zao wazindulliwa

  • | KBC Video
    8 views

    Mfumo mpya wa kidijitali umebuniwa kupunguza makosa yanayoshuhudiwa mara kwa mara katika vituo vya afya. Mfumo huo kwa jina AI Consult unawasaidia madaktari kwa kuashiria papo hapo makosa kabla hayajatokea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive