Mfumo wa elimu Afrika Kusini ulivyoshindwa kuwasaidia watoto masikini

  • | VOA Swahili
    44 views
    Mfumo wa elimu nchini Afrika Kusini umeshindwa kuwasaidia watoto masikini sana kwa mujibu wa wazazi, waalimu na vijana wenyewe. Wengi wamelazimika kutumia saa nyingi kutembea kutoka na kwenda shule kila siku, mara nyingi katika mazingira hatari sana. Inadaiwa kuwa wamechoka sana, na hawawezi kutimiza uwezo wao wa kielimu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.