Skip to main content
Skip to main content

Mfumo wa kutoa tahadhari ya mafuriko wazinduliwa Garissa

  • | Citizen TV
    52 views
    Duration: 1:16
    Wakazi wa kaunti ya Garissa wanaoathirika na mafuriko ya mara kwa mara sasa watakuwa wanapokea ujumbe wa tahadhari mapema baada ya watalaamu wa utabiri wa hali ya hewa kushirikisha waakilishi wao wa jamii kwenye mafunzo ya kutoa jumbe hizo kwa wakati ufaao.