Skip to main content
Skip to main content

Mgao wa kaunti wacheleweshwa

  • | Citizen TV
    430 views
    Duration: 1:52
    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, amesema kuwa kuchelewa kwa mgao wa fedha kutoka kwa serikali kuu kumeathiri pakubwa utoaji wa huduma muhimu za serikali za kaunti, ikiwemo kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wakati.