Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro Nairobi Hospital

  • | Citizen TV
    18,468 views
    Duration: 3:01
    Mgogoro katika usimamizi wa hospitali ya Nairobi umeendelea kutokota huku sasa Daktari mkongwe Job Obwaka na naibu mwenyekiti wa hospitali hiyo Samson Kinyanjui wakikamatwa. Wawili hawa wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Muthaiga huku mawakili wao wakilalamikia ukosefu wa stakabadhi za kuonyesha mashtaka yanayowakabili. Aidha, Muungano wa Madaktari nchini KMPDU na chama cha mawakili LSK, wametishia kuandamana iwapo wawili hao hawataachiliwa,