Mgogoro wa bahari ya Shamu unavyoathiri usafirishaji wa bidhaa

  • | VOA Swahili
    765 views
    Hii leo tunaangazia mgogoro wa bahari ya Shamu unavyoathiri njia hiyo ya majini kutokana na wanamgambo wa Houthi kurusha makombora na ndege zisizo na rubani zinazolenga meli za kibiashara, Tunajiuliza kwa kiwango gani wafanyabiashara ukanda wa Afrika Mashariki wameathirika?