Mgogoro wa Kenya na Tanzania

  • | TV 47
    Ndege za Tanzania hazitazuiliwa kuingia hapa nchini lakini wasafiri kutoka Tanzania watalazimika kuwekwa kwa karantini, serikali ya Kenya imekanusha kuwepo kwa mgogoro kati yake na Tanzania baada ya Tanzania kukosa kuorodheshwa kati ya mataifa ambayo wasafiri wake hawatawekwa kwenye karantini baada ya kuingia nchini.