10 Sep 2025 1:38 pm | Citizen TV 319 views Duration: 1:34 Mgogoro kuhusu usimamizi wa kituo cha mafunzo cha kidini cha Quba katika mji wa Garissa uliosababisha kituo hicho kufungwa na kamati ya usalama ya kaunti hiyo mwezi jana sasa umetatuliwa.