Mgogoro wa KTDA Embu

  • | TV 47
    Baada ya serikali kuanzisha harakati za kubadilisha sera za mamlaka ya KTDA, wakulima kutoka Embu bado wanataka KTDA iwepo lakini serikali iingilie kati na kudhibiti mamlaka hiyo. #TV47OnDSTV