Mgogoro wa majani chai waendelea kushuhudiwa hapa nchini

  • | Citizen TV
    573 views

    Kenya imefahamika pakubwa kwa chai yake ya tunu na uzalishaji wake unaosifika kote duniani. Hata hivyo, katika majuma ya punde mgogoro kati ya wakaazi wa maeneo yanayokuza majani chai na kampuni umetishia kuvunja hadhi ya zao hili. Mzozo kuhusu uchumaji wa maji chai na utumizi wa mashine umesababisha hasara huku kampuni kadhaa zikifungwa.