Mgogoro wa mpaka Mackinon

  • | Citizen TV
    243 views

    Wanaharakati kutoka kaunti ya Taita Taveta wanawataka viongozi wa kwale na Taita Taveta kutafuta suluhu ya kudumu kuhusu mzozo wa mpaka eneo la mackinon huku wakiwasihi kuacha kuwachochea wananchi wa eneo hilo wasilipe ushuru. Haya yanajiri wiki moja baada ya Gavana Wa kwale Fatuma Achani kuamrisha wakaazi wa eneo hilo kutolipa ushuru kwa serikali ya kaunti ya Taita Taveta.