Mgogoro wa uongozi Makueni

  • | Citizen TV
    2,235 views

    Chama cha wiper kilicho na idadi kubwa ya wawakilishi kwenye bunge la Makueni kimekumbwa na mgogoro wa uongozi. Baadhi ya wawakilishi wadi walijitokeza na kuchagua viongozi wengine wa bunge akiwemo kiongozi wa wengi na naibu wake na kuwaondoa waliokuwepo.