Mgombea Adan Mohammed aendeleza kampeni zake za ugavana

  • | Citizen TV
    338 views

    Mgombea ugavana kaunti ya Mandera kwa tikiti ya chama cha Jubilee Adan Mohammed ameelezea ari yake ya kutatua matatizo ya wakazi wa kaunti hiyo iwapo atashinda katika uchaguzi mkuu ujao.