Mgombea kiti cha urais kwa chama cha Agano aahidi uongozi bora

  • | Citizen TV
    973 views

    Mgombea urais kwa tiketi ya Agano David Mwaure Waihigia ameapa kukabiliana na ufisadi endapo atashinda uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Akizungumza kwenye kanisa la Tabernacle eneo la Ruiru, kaunti ya Kiambu, Mwaure amewataka wakenya kumuunga mkono na kumpigia kura kwenye uchaguzi wa Agosti 9. Mgombea mwenza wake Ruth Mutua, akisisitiza kuwa tiketi yao ya urais inaashiria matumaini makubwa kwa taifa hili.