Mgombea mwenza wa Odinga apeleka kampeni ngome ya Ruto

  • | Citizen TV
    5,725 views

    Mgombea mwenza wa Raila Odinga kwenye muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Martha Karua, amepeleka kampeni kwenye ngome ya naibu rais William Ruto mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu. Karua akiwataka wenyeji wa Eldoret kujiunga na safari ya Azimio, akitaja manifesto ya Azimio kama iliyo na mikakati ya kufufua uchumi wa taifa.