Mgombea urais wa muungano wa OKA kutangazwa hivi karibuni

  • | KBC Video
    Muungano wa One Kenya Alliance umekanusha madai kuwa kuna migawanyiko mikubwa kwenye muungano huo.Wakiongea baada ya kukutana na kamati ya kiufundi iliyopewa jukumu la kumtambua atakayepeperusha bendera ya muungano wakati wa uchaguzi mkuu,viongozi hao walisema watatangaza hivi karibuni mgombeaji wao urais. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #2022Polls #OKA