Mgomo wa Madaktari na Wahudumu wa Afya waanza Taita Taveta

  • | TV 47
    38 views

    Huduma za afya kwenye Kaunti ya Taita Taveta zalemazwa baada ya madaktari na wahudumu wa afya kuanza mgomo wao leo hii kutokana na kutoelewana na serikali ya kaunti kuhusu malalamishi ya maswala ya malipo yao na vifaa vya kufanyia kazi na dawa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __