Mgomo wa madaktari umeendelea kwa siku ya 29 leo

  • | Citizen TV
    414 views

    Vuta nikuvute imeendelea kati ya madaktari na serikali huku mgomo wa madaktari ukiendelea kwa siku ya 29 leo. Huku serikali ikisema iko tayari kwa mazungumzo iwapo madaktari watasitisha mgomo, madaktari nao wanashikilia kuwa watazungumza lakini bila masharti. Hali hii imeendelea huku sasa madaktari wataalam wakitishia kusitisha huduma katika hospitali za kibinafsi. Brenda Wanga anatufungulia jamvi la Nipashe jioni ya leo