Mgomo wa madaktari umeendelea kwa siku ya 40 hii leo

  • | Citizen TV
    477 views

    Huku mgomo wa madaktari ukiingia siku ya 40, maafisa kliniki sasa wanasema wataendelea na maandamano hapo kesho hadi serikali itakapo tekeleza mkabata wa makubaliano kati yao.