Mgomo wa madaktari umewaathiri wananchi wa kipato cha chini

  • | West TV
    18 views
    Waumini wa dini ya kiisilamu eneo la Lwakhakha kaunti ndogo ya Sirisia wameitaka serikali kutafuta mwafaka na muungano wa madaktari kwa lengo la kumaliza mgomo ambao tayari umeathiri wakenya wenye mapato ya chini