Mgomo wa madaktari watarajiwa kuanza leo usiku wa manane

  • | KBC Video
    83 views

    Wakenya huenda wakalazimika kutafuta huduma za matibabu katika hospitali za kibinafsi baada ya chama cha wataalamu wa matibabu na madajktari wa meno kutangaza mgomo kuanzia leo usiku wa manane. Akihutubia wana-habari katika afisi za chama cha KMPDU, katibu mkuu wa chama hicho, Davji Atella alisema mgomo huo unafuatia kuvurujika kwa mashauriano na wizara ya afya. Aidha, wabunge wa mrengo Azimio la Umoja One Kenya wakiongozwa na kinara wa wachache bungeni Opiyo Wandayi wanashinikiza kujiuzulu kwa waziri Susan Nakhumicha. Kasichana Masha na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive