Mgomo wa marubani | Mgomo yaingia siku ya tatu leo

  • | KBC Video
    24 views

    Vuta nikuvute imeghubika sekta ya uchukuzi wa ndege humu nchini baada ya marubani wanaogoma kutoa sharti kwamba watarejea kazini pale tu mkataba wao wa makubaliano utakapotekelezwa huku shirika la ndege la Kenya Airways kwa upande wake likisisitiza mashauriano yataendelea tu baada ya marubani kurejea kazini. Haya yamewadia wakati wasafiri waliokwama kwenye uwanja wa ndege wakilitaka shirika hilo kutafuta mbinu mbadala za kuwawezesha kuendelea na safari zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mgomowamarubani #News #kenyaairways