Mgomo wa matabibu kuanza leo usiku wa manane

  • | KBC Video
    64 views

    Chama cha matabibu humu nchini kimetangaza kurejelewa kwa mgomo wa kitaifa kuanzia usiku wa manane leo, ukitaja kuchelewa kwa serikali kutekeleza makubaliano yao ya kurejea kazini, ambayo yalitiwa sahihi mwezi Septemba mwaka jana. Matabibu hao wanashutumu Halmashauri ya Afya ya Kijamii kwa kukosa kutekeleza maazimio ya mkutano baina ya ya Wizara ya Afya na chama chao mnamo tarehe mwezi huu kuhusu kandarasi zao za utendakazi na ujumuishaji wao na vituo vya afya katika bima ya SHA. Mgomo huo umerejelewa baada ya ilani ya siku 21 kutamatika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive