Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa uchukuzi wasitishwa, Ruto aahidi nafuu ya bei ya diseli

  • | Citizen TV
    1,532 views
    Mgomo katika sekta ya uchukuzi wa umma sasa umesitishwa rasmi baada ya mazungumzo kati ya rais William Ruto na viongozi wa sekta hiyo. Rais Ruto akitangaza kuwa bei ya diseli itapunguzwa na zaidi na shilingi 10 mwezi ujao kama mojawapo ya hatua za kuwasaidia wakenya kumudu gharama ya juu ya mafuta