Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa Wahadhiri: Vyuo vikuu vyakwama, masomo yasita

  • | Citizen TV
    514 views
    Mgomo wa kitaifa wa wahadhiri umeendelea kuwaathiri wanafunzi huku madarasa chuoni yakisalia pweke kwa siku ya pili. Wahadhiri walioanza mgomo wao hapo jana wakisisitiza kuwa mgomo huo utaendelea hadi pale watakapopewa malipo yao yote kulingana na makubaliano na serikali.