- 374 viewsDuration: 2:41Ni afueni kwa maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma nchini baada ya wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo hivyo kusitisha mgomo wao wa siku 49. Wahadhiri na wafanyakazi hao wamekubali kulipwa shilingi bilioni 7.9 wanazodai kwa awamu mbili, huku ya kwanza ikianza kulipwa mwaka huu