Mgomo wa walimu wa KUPPET waanza Kajiado

  • | Citizen TV
    1,643 views

    Chama Cha Walimu Wa Shule Za Sekondari Na Vyuo Vya Kadri - Kuppet - Kinafanya Kikao Na Waandishi Wa Habari Huku Mgomo Wa Walimu Walioko Chini Ya Muungano Huo Ukianza Rasmi. Hapo Jana, Baraza Kuu La Kuppet Liliidhinisha Mgomo Huku Walimu Wakiitaka Tsc Kutimiza Matakwa Yao. Robert Masai Anafuatilia Matukio Katika Kaunti Ya Kajiado Na Sasa Anaungana Nasi Mubashara Kwa Mengi Zaidi.