Mgomo wa walimu wa sekondari na vyuo vya kadri waanza rasmi

  • | Citizen TV
    3,683 views

    Mgomo Wa Walimu Wa Sekondari Na Vyuo Vya Kadri Umeanza Rasmi Huku Shule Nyingi Nchini Zikisalia Mahame. Walimu, Wakiongozwa Na Viongozi Wa Kuppet Katika Kaunti Mbalimbali Nchini Waliandamana Kushinikiza Tume Ya Walimu Kutekeleza Matakwa Yao. Walimu Hao Wameapa Kutorejea Shuleni Hadi Pale Tsc Itakapowasikiza Na Kutimiza Makubaliano Baina Yao. Givens Chanzu Anaangazia Hali Ilivyo Katika Siku Ya Kkwanza Ya Muhula Wa Tatu.