Mgomo wa wauguzi umeendelea kushika kasi Busia

  • | Citizen TV
    134 views

    Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya Busia umeendelea kushika kasi baada ya wauguzi hao kusisitiza kwamba serikali ya kaunti ya Busia imewapuuza. Wauguzi hao wanasisitiza kuwa hawatarejea kazini hadi malalamishi yao yatatuliwe. Wauguzi wamekuwa kwenye mgomo kwa wiki moja sasa.