24 Sep 2025 1:06 pm | Citizen TV 327 views Duration: 1:58 Wahadhiri pamoja na wafanyikazi katika vyuo vikuu vya umma leo wameendelea na mgomo wao huku wakisisitiza kuwa hawatarejea kazini hadi makubaliano yao na serikali kuhusu malipo yatimizwe.