Mhadhiri Everest Standa aaga dunia baada ya kuugua kwa muda

  • | Citizen TV
    1,153 views

    Familia, jamaa na marafiki wa Prof. Everest Standa wanaendelea kumuomboleza msomi huyo aliyeaga dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya kimisheni ya Marafiki ya Lugulu baada ya kuugua kwa muda mrefu.