Mhariri tajika Tom Mshindi ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa KBC

  • | KBC Video
    88 views

    Mhariri tajika Tom Mshindi ameteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa shirika la utangazaji la Kenya-KBC kwa kipindi cha miaka mitatu. Mshindi aliteuliwa na rais William Ruto kupitia arifa kwenye gazeti rasmi la serikali la tarehe-19 mwezi huu na anachukua mahali pa mhandisi Benjamin Maingi ambaye uteuzi wake umebatilishwa. Mshindi aliwahi kuwa mhariri mkuu na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Nation Media Group.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive