Mhisani atengeneza Kivuko cha Shamberere kuelekea Misembe

  • | West TV
    Baada ya watu watatu kufariki katika eneo ambalo kulihitajika daraja katika eneo la Shamberere na Misemba katika kaunti ndogo ya shinyalu, mhisani aliyejitokeza na kuwafaa wakazi wa eneo hilo kwa kivuko, sasa analalamikia kusutwa na viongozi wa eneo hilo