Mhubiri adaiwa kumtunga mimba mtoto wa miaka14 Mwingi, Kitui

  • | Citizen TV
    651 views

    Kisa cha kutamausha kiliripotiwa mjini Mwingi Kitui pale mchungaji wa kondoo alidaiwa kumla mwanakondoo mchanga kinyume na mataranjio ya kazi na waumini