Mhubiri Ezekiel aongoza mkutano wa maombi Jacaranda, asema hana lolote la kuficha.

  • | KBC Video
    7 views

    Mhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer amesema hana lolote la kuficha huku jopokazi lililobuniwa na rais likitarajiwa kuzuru kanisa lake lililoko katika kaunti ya Kilifi mwezi ujao. Odero amepongeza hatua ya serikali ya kubuni jopokazi hilo kuchunguza shughuli za madhehebu akisema kanisa lake linaendesha shughuli zake kihalali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News