Mhubiri Ezekiel Odero atarajiwa kufikishwa mahakamni mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    9,945 views

    Mhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer Centre huko Mavueni anatarajiwa kufikishwa mahakamni mjini Mombasa hii leo. Ezekiel alikamatwa jana kwa tuhuma za maafa ya baadhi ya waumini wake bila kuwasilisha ripoti kwa afisi muhimu za serikali kabla ya watu hao kuzikwa.