Mhubiri Mackenzie na wenzake 17 kuzuiliwa kwa siku saba zaidi

  • | K24 Video
    45 views

    Mhubiri mwenye utata Paul Makenzi ambaye ni miongoni mwa washukiwa wakuu katika mkasa wa shakahola, ametishia kususia vikao vya mahakama kutokana na matamshi ya waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ya kwamba atasalia korokoroni hata iwapo ataachiliwa na mahakama. Wakili wa Mackenzi ameshutumu matamshi hayo akisema yanahujumu uhuru wa mahakama.