Mhubiri Mackenzie na wenzake 94 washindwa kutembea baada ya kususia chakula

  • | Citizen TV
    2,714 views

    Mhubiri Paul Mackenzie na wenzake 94 walishindwa kuhudhuria kikao cha mahakama kinachojadili hatima ya dhamana yao baada ya kuwasili mahakamani wakiwa wadhaifu kutokana na hatua ya kususia chakula.