Mhubiri Paul Mackenzie ahukumiwa kifungo cha miezi 18

  • | KBC Video
    70 views

    Mhubiri Paul Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miezi 12 kwa kosa la kusimamia studio ya kurekoda na kutayarisha filamu bila leseni. Zaidi ya hapo, hakimu mkuu mkazi wa mahakama ya Malindi Olga Onalo alimwongezea kifungo cha miezi sita gerezani kwa kumiliki na kuonesha filamu kwa umma kupitia runinga ya Times bila leseni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News