Mhubiri wa African Divine Church akamatwa kwa ugemaji na wizi wa mifugo Likuyani

  • | West TV
    1,180 views
    Polisi katika kaunti ndogo ya likuyani wanamzuia mhubiri mmoja wa kanisa la african divine kufuatia tuhuma za kuhusika kwenye wizi wa mifugo mbali na kushtumiwa kuhusika katika ugemaji wa pombe haramu ya chang’aa