Skip to main content
Skip to main content

Mhubiri wa kanisa la Zion Fire Annoiting Ministries ashtakiwa kwa tuhuma za mafunzo potovu ya dini

  • | Citizen TV
    955 views
    Duration: 2:53
    Mwanzilishi wa kanisa la Zion Fire Annoiting Ministries eneo la Changamwe kaunti ya Mombasa ameandikisha taarifa na polisi kwa tuhuma za kuendesha mafunzo potofu ya kidini. Elizabeth Kadori amekana madai ya kujihusisha na itikadi hizo za dini na kuachiliwa kwa dhamana ya polisi. Washukiwa wengine wawili bado wanazuiliwa