Mhudumu wa bodaboda auawa mtaani Map Clinic Burumba

  • | Citizen TV
    184 views

    Hofu imetanda katika mtaa wa Burumba mjini Busia baada ya mhudumu wa bodaboda kuuwawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika shamba moja eneo hilo.