Mhudumu wa Bodaboda auawa na kuteketezwa baada ya kushiriki wizi wa mahindi

  • | West TV
    284 views
    Kijana mmoja ambaye ni mhudumu wa bodaboda ameuawa jioni ya leo na wakazi wenye gadhabu baada ya kumpata na mahindi gunia tatu aliokua amemwibia mkazi mmoja katika kijiji cha lwanda wadi ya matulo kwenye eneo bunge la webuye mashariki huku wakitaka ulinzi kumarishwa eneo hilo.
    gun