- 529 viewsDuration: 3:15Wizi wa mifugo na visa vya mauaji ni miongoni mwa changamoto zilizoikabili serikali ya kenya kwanza ilipochukua uongozi mwaka wa 2022. Majambazi waliojihami walisababisha maafa huku zaidi ya watu 100 wakiripotiwa kuuawa mwaka huo na maelfu ya mifugo kuibiwa. Operesheni iliyofanywa mwaka wa 2023 sasa imerejesha amani na utulivu na kutoa sura mpya maeneo haya.