Skip to main content
Skip to main content

Miaka 30 ya ajali ya MV Bukoba

  • | BBC Swahili
    2,206 views
    Duration: 1:29
    Mei 21, 2026 imetimia miaka 30 tangu ajali ya meli ya MV Bukoba nchini Tanzania kutokea na watu takriban elfu moja kufa maji. Miongoni mwa waliofariki dunia ajalini ni wanafunzi wa kidato cha sita waliokuwa wakisafiri kurejea makwao baada ya mitihani. Pia Karatasi za majibu ya mitihani zilizama hivyo kulazimu mitihani kufanyika upya. @scolar_kisanga amezungumza na mmoja wa waliofanya mitihani ya marudio 1996 na kueleza anachokumbuka. #bbcswahili #bukoba #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw