Miaka 60 baada ya vita vya jamii ya Bukusu na Mkoloni eneo la Lumboka,Mabanga na Chetambe Bungoma

  • | West TV
    190 views
    Huku taifa la kenya likiadhimisha miaka sitini tangu kujinyakulia uhuru kutoka kwa mabeberu, watu wa jamii ya bukusu katika kaunti ya bungoma wanalilia haki yao na fidia baada ya watangulizi wao kuuawa na wabeberu kwenye vita vya ukoloni. Mwanahabari wetu leonard wamalwa alizuru sehemu ya Mulukoba Lumboka ambako vita kati ya mubukusu na mkoloni vilianzia na kutuletea makala yafuatayo.