Miaka 65 ya BBC Swahili: Forodhani Zanzibar zaidi ya unavyolijua

  • | BBC Swahili
    1,070 views
    Moja ya maeneo yanayokusanya watu wengi, hasa nyakati za jioni visiwani Zanzibar, ni Forodhani Garden, ukubwa wake si zaidi ya kilomita moja za mraba, lakini hubeba melfu ya wageni wa ndani na wa nje ya Tanzania. Kuanzia Jumatatu Juni 27, BBC Swahili Itakuwa Zanzibar na Bukavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuadhimisha miaka 65 ya kukuhabarisha Kukuburudisha na Kukuelimisha. #bbcswahili65 #kenya #tanzania